TAARIFA MUHIMU :

MATANGAZO

KARIBU BAKIZA

Baraza la Kiswahili la Zanzibar (BAKIZA) ni taasisi iliyoanzishwa kwa sheria Na. 4 ya mwaka 2004 ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar. BAKIZA lipo chini ya Wizara ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Ofisi za BAKIZA zimo katika jengo la Kamisheni ya Utamaduni na Michezo.

HABARI NA MATUKIO

  • BAKIZA na BAKITA Wamefanya Kikao cha Pamoja

    Kikao hicho kilichofanyika makao makuu ya Baraza la Kiswahli la Taifa Kijitonyama jijini Dar es Salaam na kujadili mambo kadhaa ya mashirikiano ambapo ilisisitizwa kwamba mabaraza hayo mawili yafanye kaz kwa karibu ili kusaidia Watanzania kutumia Kiswahili kwa ufasaha na usahihi.

  • Rais Shein amefungua Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili 2018

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, amesema Kongamano la Kiswahili linaloendelea lina mchango muhimu katika kuendeleza historia, maendeleo ya Kiswahili na kuitambulisha Zanzibar Kimataifa.