TAARIFA MUHIMU :

MUUNDO WA BARAZA


Baraza la Kiswahili la Zanzibar lina Mwenyekiti, Naibu Mwenyekiti na wajumbe kutoka Mikoa yote ya Zanzibar na katika taasisi mbalimbali zinazosimamia Kiswahili Zanzibar na Tanzania Bara. Shughuli za kila siku za BAKIZA zinasimamiwa na Katibu Mtendaji.

MATANGAZO