BAKIZA

KUHARIRI MISWADA

Baraza la Kiswahili la Zanzibar (BAKIZA) linatoa huduma ya kuhariri miswada ya vitabu vya Kiswahili na nyaraka nyengine kutoka taasisi za Serikali na watu binafsi na kutoa ithibati juu ya usaihi wa lugha iliyotumika kwa kazi ya uhariri iliyofanyika nje ya BAKIZA.