BAKIZA
Katibu Mtendaji wa Bakiza akiwa katika kikao na Wageni kutoka katika kituo cha utamaduni cha Nchini Urusi kilichofanyika tarehe 17/04/2024 Mwanakwerekwe katika ofisi za BAKIZA.
Katibu Mtendaji wa Bakiza ndugu Mwanahija Ali Juma akipokea zawadi ya vitabu kutoka wa Mrs.Maria Pateeva kutoka katika kituo cha Utamaduni cha Urusi siku ya Jumatano 17/04/2023.
Wafanyakazi wa BAKIZA wakiwa katika picha ya pamoja na wageni kutoka katika kituo cha Utamaduni cha chini Urusi.
Katibu mtendaji wa BAKIZA akipokea zawadi ya Sahani kutoka kwa Mrs.Maria Pateeva kutoka katika kituo cha Utamaduni cha Urusi siku ya Jumatano 17/04/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa na viongozi wengine wa Serikali ya Mapindunzi ya Zanzibar kukagua Maonesho ya vitabu katika Kongamano la Idhaa la Kisahili Duniani lililofanyika Zanzibar
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Mh. Fatma Hamad Rajab akizungumza na washiriki wa Konagamano la 6 la Kiswahili lililofanyika tarehe 17-18/12/2022 katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi uliopo Wete Pemba
Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili la Zanzibar Dkt. Saade Said Mbarouk akizungumza na washiriki wa Konagamano la 6 la Kiswahili lililofanyika tartehe 17-18/12/2022 katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi uliopo Wete Pemba

KARIBU BARAZA LA KISWAHILI LA ZANZIBAR

Baraza la Kiswahili la Zanzibar (BAKIZA) ni taasisi iliyoanzishwa kwa sheria Na. 4 ya mwaka 2004 ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar. BAKIZA lipo chini ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.

Chombo hiki kimeundwa kwa madhumuni ya kusimamia masuala yote yanayohusu lugha ya Kiswahili, matumizi, maendeleo, mafanikio na changamoto zake Zanzibar.

 
Dkt. Shein na Maendeleo ya Kiswahili Zanzibar

Tsh. 6,000/=

Utamaduni wa Mzanzibari

Tsh. 5,000/=

Kamusi la Lahaja la Kitumbatu

Tsh. 10,000/=

Kamusi la Lahaja la Kipemba

Tsh. 10,000/=