BAKIZA

HUDUMA YA TAFSIRI

Baraza la Kiswahili la Zanzibar (BAKIZA) linatoa huduma ya kutafsiri kazi kama vile nyaraka, miswada, makala au sera kutoka taasisi mbalimbali za Serikali na binafsi zinazohitaji kutafsiriwa kutoka Kiswahili kwenda lugha nyengine za kigeni na kutoka lugha nyengine za kigeni kwenda Kiswahili; pamoja na kutoa ithibati kwa kazi zilizotafsiriwa nje ya BAKIZA.