Kuwa ni taasisi bora katika kusimamia maendeleo na matumizi ya Kiswahili sahihi, fasaha na sanifu nchini Tanzania, Afrika na Duniani kote.
Kuandaa programu bora za taaluma zitakazosaidia kuendeleza Kiswahili kwa njia ya redio na televisheni, kutoa mafunzo ya kuinua uelewa kwa wadau wa Kiswahili na kuchapisha vipeperushi, majarida na vitabu vitakavyosambazwa ndani na nje ya nchi.
Kuwa na jamii kubwa ya watu wa Tanzania, Afrika na dunani kote wanaotumia Kiswahili kwa usahihi, ufasaha na usanifu.