Kwa Unguja Ofisi za Baraza la Kiswahili Zanzibar (BAKIZA) zimo katika Jengo la Idara ya Utamaduni na Michezo Mwanakwerekwe mkabala na Skuli ya Mwanakwerekwe 'B'.
Kwa Upande wa Pemba Ofisi za Baraza la Kiswahili la Zanzibar (BAKIZA) zimo katika Jengo la Ofisi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika sehemu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Gombani.